
Ikiwa ni wiki chache zimepita baada ya Rais Rodrigo Dutetre
wa Ufilipino kukiri hadharani kuwaua kwa kuwapiga risasi watu waliokuwa
wanatumia dawa za kulevya nchini humo, nyingine iliyonifikia leo ni hli
ya kuwatishia watumishi wote watakaobainika kujihusisha na rushwa kuwa
atawarusha kutoka kwenye helikopta.
Rais
Duterte amedai hii haitakuwa mara yake ya kwanza kufanya hivi kwahiyo
watu wasidhani hamaanishi anachokiongea. Hili tamko lingine kutoka kwa
raisi Dutetre wa Ufilipino kwa wala rushwa nchini kwake.
0 comments:
Post a Comment